Ameen inshallah ameen yarabi 1000x... mawaidha na dibet nimzuri mashekhi mashaAllah ...sheikh wetu Allah akunusur InshaAllah ameen kwasote ....mashaAllah maznge Allah akuhifadh inshallah ....na atunusur ummathi wa muhammad S W A
Mashehe acheni kuweka sili maneno ya mwenyezi mungu. Ukweli mnaujua yesu au assa hakua mklisto alikua mwislam watu watajua vip ukweli kama mnakaa kimya mna subili2: kina mazinge dunia kubwa hii wataimaliza kwanini isiwe kila mkoa na kila kjji yapatikane makundi yasimame wamnusulu mwenyezi mungu na dini hii tukufu watu wajue fikisheni kusilim ni hiuar na mungu akipenda