MUNGU anaweza tunapo omba kwa imani mimi hapa ninaushuhuda nilikuwa nifanyiwe upasuaji hapo December mwaka jana baada ya kupimwa na dactari na nikaonekana niko na Apendex hapo ndipo nilishangaza Hata boss wangu maana nilichofanya niliingia marahiyohiyo katika maombi ya mfungo nakukanusha nakukataa kwenda kufanyiwa upasuaji na ndivyo MUMGU akanijibu kusema kweli Mungu wetu nimwamunifu ππππππ
Kwa kweli Mungu ni mkuu sana ushuhuda wangu nilikuwa nasumbuliwa na kichwa sana karibia Kila siku kichwa kilikuwa kinaniuma sana takribani miaka 2 nimeomba sana lakini wapi ila juzi saa 11 aflajili huwa nakawaida kuskiliza mahubiri ya poster mmbaga wakati Wa kulala Kila siku sasa ilipofika saa kumi na Moja aflajili nikashtuka nikasikia somo linaendelea ila poster alikuwa ndo anataka kuomba aliesema Leo Mungu anaenda kuponya magonjwa yote sugu kwa watoto wake bas na mimi nkajaribu kuweka usikivu siwezi sema et kama ni Imani yangu ndo imesababisha muujiza mkubwa ila nachojua Mungu aliamua kunihurumia to baada ya kuomba nikasikia kama ubaridiiii kichwani mwang na maumivu ya kichwa tangu mda huo mpka sasa sijaskia Tena Tena Tena na pale ple nafsi yangu Moja kwa Moja ilishuhudia huu ni muujiza Wa Mungu Sina Cha kusema zaidi ya asnte kwa kweli yesu anaponya zamu Yako ikifika utapona to maana nilikuwa nimeshakta tamaa na maumivu ya kichwa kile ,Mungu azidi kukutumia mchungaji Mungu akusaidie sana sana,amena
MUNGU akubariki sana kwakweli shuhuda zangu ninyingi toka tumemaliza siku kumi za maombi MUNGU amenitendea mengi makubwa namshangaa uyu MUNGU tusiache kuomba π
Tunaendelea kuomba my boyfriend is getting better from depression may the good lord continue healing him in Jesus Name by faith tutafunga ndoa hii mwaka. Kwa imani nitapata permanent residence in Canada tuzidi kuombeana
Mchungaji nina binti angu anaitwa janeti amesoma vizuri elimu ya juu sasa akipata kazi anafanya siku chache tu anaacha amekua mlevi wa pombe na sigara yani hata nyumbani hakai naumia sana naomba umuombee pastor kwa imani yako amina naamini mungu anaenda kutenda.