FAHAMU NGUVU YA NEEMA

Pastor George Mukabwa (JRC Church)

Pastor George Mukabwa (JRC Church)

7,953 views

Neema ni Mungu kukupatia vitu flani bure ambavyo wenzako hawawezi kuvipata. Je unataka kutembea katika neema ya Mungu? Angalia somo hili ambalo litakupa ufahamu zaidi kuhusu neema ya Mungu.