😢😢 mimi nilisilimu ila nilichojifunza ni kuwa ukijifunza dini kuanzia utotoni ni vizuri mnoo kabla sijasilimu mimi wanangu wote nilikuwa nawalipia madrasa wakirudi wanaanza kurudia walichojifunza.....nilikuwa nafurahi mnoooo kuwasikia Huku nilikuwa sikosi kufwatilia mafundisho hapa straight path dawah basi ilafika muda nami nikaenda msikitini nikaslimu hio siku nilijisikia raha ya ajabu sana kuingia msikitini❤ allhamdullilah nafurahi mnooo kujumuika na ndugu zangu waislam.
Subhanaallah Allah atuongoze sana na awape mwelekeo ulio Bora kwao maana dah watu sijui nini Iko vichwani mwao walahi au ndio zile alama zaendelea kujionyesha zimebakia alama kubwa sasa tulipo fikia Allah atupe mwisho mwema waislamu na tuombeane ❤❤❤❤ allihamudulilah ne'ema islamu
Alaykum Salaam Warhmatullah Wabarakatuh Shekh Ramadhan eti leo bahati nimekutana na Magdalena shukran Shekh Mwenyeez Mungu kwa kuzidi kutupa elimu kupitia chanel Allah akulipe kheri
SubhanAllah Innalllah Wainallilah Rajoon mtihan mimi binfasi nilipokuwa mdogo sijasoma Quran ila namuomba Mwenyeez Mungu hata nipate mtihan gani siwezi kubadili dini Shekh msaidie huyo mama arudi kwenye Uislam
Assalam aleikum warahmatullah wabarakatuh.Ndugu zanguni,mitihani ni kawaida na ndio kipimo cha imani kwa kila mja.Tusije tukaingia motoni kwa kuacha uislamu
Rehema na Amani zitokazo Kwa mungu baba na Kwa Bwana wetu yesu kristo alie hai ziwe nanyi nyote.siku za mwisho kutatokea makristo wa uongo nao watawadanganya wengi.kristo atakapokuja mara ya pili hawa waongo wote watakoma Siku ile