Swali yangu ni hii, hiyo school of ministry ulipelekwa na holy spirit, iko wapi? Iko hapa duniani ama ni mbinguni? Kulikuwa na students wengine ama na ni wanadamu ama ni spirits etc.. Kumekuwa na watu wengi wanadai wamefunzwa na Mungu lakini hawatuelezi how it happens.