KUOMBEA MIFUMO ILIYOBEBA BARAKA KATIKA ENEO! With (Mwl. Martin Kilango)EP06

Isaac Mtei

Isaac Mtei

59 views

Karibuni kwenye The Isaac Mtei Show! kwenye episode hii, tumepata neema na kibali ya kufanta maongezi na (Mwl. Martin Kilango), kutoka KKKT, DK, Jimbo la Kilimanjaro Kati, Usharika wa Moshi Pasua.

Tunaingia kwenye maombi yenye nguvu, huduma ya jamii, umuhimu wa imani kwenye maisha yetu. Mwl. Martin anatupa safari na athari za kazi anazofanya katika uongozi wa kanisa na biashara zake.

ninawakaribisha muungane nasi kwenye maongezi yenye manufa kwenye maisha yenu na kukuza imani juu ya Mungu, na mungu kuhusika kwenye vizuizi vinavyo zuia baraka juu ya eneo uliopo na kufunguliwa dhidi ya mifumu iliyoharibiwa na mababa zetu au na sisi wenyewe.

kwa mawasiliano zaidi ya Mwl. Martin Kilango ni (0784419331) na youtube channel yake ni ‪@martinkilango2015‬

Usisahau kusubscribe, like, comment, na kushare ili iwafikie watu wengi zaidi, Amina na Mungu awabariki.