Ujanja wa Denis na familia yake sasa imejulikana na kila mtu !!! Mtoto msichana wa Grace apate HAKI kwa dhulma ya kijinsia na warudishe mali zote na nyumba watoke for good .Damu ya mtoto shosho alipeleka wapi ??????
The siz chose the right thing not to tell the truth to the mom juu kuns vitu kwa mzazi akiwa far they may cause pressure to death si uwongo but telling her to find time akuje even shortly was very right that's being intelligent.
Denis , mamake, kile kinyangarika na huyo brother yake inafawapewe discipline ya hali ya juu mbona wafanye hiyo ujinga yote mpaka watese mtoto kweli😢😢😢😢😢😢
Daktari ametoboa siri za Dennis huyu amejimbia kaburi it's about to go down🔥