Mungu akupe wepesi kwa kujitolea kwenye huu ulimwengu unaoweka mbele elimu ya kidunia Na kuifanya elimu yakumjua mungu iwe haina nafasi Nakufahamu shekhe hijja sana tulikuwa wote Madrasat mukarramah Mtoni kwakindande
Waislam wengi wanaroho mbaya sana Kwa maustadh,Huwa wakiona maustadh wanamaisha mabaya ndiohuchekelea na wakuone Sasa ustadh mara unapikipiki na unavaa kanzu nzurii bas mara Moja huanza kukuletea fitnah,,MOLA Awabarik maustadh na masheikh wote na awape nyumba nzur na magar mazur ya kifahari🤲
Mpaka Leo sijafaham kwanini waalim wa madrasa hawalipwi mishahara na zaidi kutegemea wafadhili. Kwanini wazazi Hawatoi fees Kama school za kawaida. Bakwata isimamie hili ili walimu wawe wanalipwa mishahara Kama walimu wa kawaida