Unajua nimemsikiliza Bishop Gwagma kiukweli anaongea Kiswahili tu lakini anayoongea yana maana kubwa kuliko kiswahili alichotumia , na kwa mahubiri haya huyu ni Mtumishi wa Mungu alie hai ,huwezi ukawa wa shetani uongee vitu vizito na vyakutufanya tujitambue vyema kua sisi ni wa Mbinguni na tulikua huko kitambo sana ila Mungu akutavalisha mwili tuje Duniani tuyafanye mapenz yake ,kama Yesu alivyotumwa sisi nasi tumetumwa na Mungu kutimiza jambo Fulani hapa Duniani.
AMEN! MIMI SIFI ILA MWILI HUU ULIOANZA KUZEEKA NA UNAOKULA PILAU NA KANDE NDO UNAOJITENGA NA MIMI NA WALIOPO WANAUFUKIA. TUTAPEWA MWILI WA ROHO USIOKUFA.