ANA mifano ya UJASIRI kama Wapigania UHURU WA Africa na UKOMBOZI. Idumu Sahel na ushirikiano wao. Mungu awalinde na awabariki. Hakika Traore ni Shujaa na Mkombozi pamoja na wenziwe. Tuna furaha kwa ajili yao. MWANAJESHI SHUJAA. USHINDI JUU YAO . MUNGU IBARIKI AFRICA. WABARIKI VIONGOZI WAKE. WABARIKI WATOTO WA AFRICA
Mimi pia ningempa zaidi yq mara zote MUNGU ibariki Burkinafaso, MUNGU mbariki TRAORE MUNGU ibariki AFRIKA๐ซต๐พ๐๐ฝโค๏ธ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ
Mungu wetu wa haki mlinde Ibrahim traole muwezeshe kutenda haki katika uongozi wake muwezeshe hitajio la moyo wake katika kheyr na umlinde aishi maisha marefu yenye kupendeza Mungu wetu
Si ndio hivyo viongozi wanang'ang'ania tuรน kujenga majengo ya kuabudu lkn kuwajengea watu uwezo wakuweza kujitegemea kimaendeleo๐๐๐๐๐hiiiyooo ni hatari sana big up traore
Ni ukweli lakini hii dhana ni kwa maisha yetu duniani. Mbinguni hakuna kuoa au kuoelewa hata bwana Yesu alisema hayo. Kuoana duniani ni kwa ajiri ya kuzaliana , na ubikra wa mwanamkwe na mwanaume ni kwa ajiri ya kudunu ktk ndoa duniani. Mbinguni hatutakuwa na husia za kingono ngono