Mwanaume anajua kulea watoto wake ata mwanamke aingii ndani am so proud of you Shetta yaani unajua kulea mshenzi wewe uko karibu sanaa na wanao yaani umeweza unajua unajua unajua mpaka unakera❤
Napenda baba hanae penda watto wake na kulea kama we shetta wanaume wengi wanajua kumbwaga mbegu tu na jukum la kulea rinabaki kwa mma peke wanajifanya wao wanaume hawawezi kulea lkn sio kweri we umeweza hongera my brother,,na wanaume wengine wakuige aisee ❤❤❤❤
Life kweli inachange Mzee shetta nikikumbuka enzi ya hakuna kulala pale Ilala dahh!!.. tunagonga story kiboya boya saizi Mzee life limenoga. Big up sana mzee.
Unajua kuna wasanii wana pesa ila wanaweza kucontroll hanasa tu hawawez kuorganize watoto wao japokuwa wana nguvu ya fame na money inabidi wajifunze kwako mwanangu nahis hao binti zako n mama tofauti lakin umetumia effort ya kiume kuonganisha binti zako na kulea vizur na kwa muonekano tu inaonyesha jinsi gani watoto walivyo na furaha kwa baba yao. Safi mzee unastahili kwel kurun izo ngo's za ukatili wa watoto. Big up men