Sheikh Allah akujaaliye afya na umri mrefu ktk kufundisha dini na akuepushe na Riya akuepushe na kufungwa magereza akuepushe na mabalaa yote pia Allah akujaaliye uwe na uwezo wa kutowa waadhi bila kupindapinda Allah akujaaliye mwisho mwema tukutana peponi sote Kwa rehma za Allah Amiiin