CHA 2000 Full movie STARING MKOJANI SAMOFI GALASA KISOSEG MBEMBE
MKOJANI GANG
Subscribe
476,584 views
No description available
Show more
20 Comments
@mkojani
Creator
1 year ago
Pinned
TUNAOMBA RADHI KAMA MKOJANI GANG KWA USUMBUFU ULIOJITOKEZA TUMERUDI GANG MPYA ,MWAKA MPYA ,MAMBO MAPYA
323
75 replies
@AminaJoho-ux1wu
1 year ago
Mm nampenda san kisoseji anajua san mpaka ana kera ani ananiunga mkono kumpenda kisoseji nipen like zenu tunao mpenda kisoseji ❤❤❤
45
1 reply
@AgnesJohn-f1r
1 year ago
Yaani mkojani umeniumiza sana salio langu limeenda bure kwa watu nisio wakubali Lete kazi baba niko pamoja na wewe mwanzo mwisho
11
@hamzaali-xp8fs
1 year ago
😂😂😂 MKOJANI Gang iko juu sana ila Mkojani Pamekosa Vichwa viwili hapa na unavijuwa Tin White Na Ringo 👏🫡
14
@TalibMtalika
1 year ago
Mama kayataka ushaambiwa yatima afu unamuuliza kwenu wapi😂😂😂
7
@NassibUkasha
1 year ago
Mkojani gang Yani nyie mwatuoa burudani SASA mukileta tofauti mwatukoroga Kama wateja wenu anyway KAZI njema insha'Allah from Kenya tunawapenda nyote
8
@MichaelErnest-f1t
1 year ago
Hapo umeuwa mkojani tunaomba kazi ziendelee usipoe tena
7
@AliiddiRubeya
1 year ago
Jaman laiki zang na mm ap kutok zanzibar
8
@BIGbonE.001
1 year ago
Galasa na Mbembe, kazi nzuri brothers much love Kenya Nairobi.
6
@abdillahijumamzee4579
1 year ago
mkojani na samofi mungu awape upendo na maskizano muzidi kutuelimisha na kutupa raha na vichekesho vyenu
2
@Mohamed-m8k8b
1 year ago
Mkonjani napenda hio mapenzi na mtoto wa elfu mbili yaani mwaka wa 2000🎉❤
1
@KevinGodstone
1 year ago
Toa kaz back to back mkojan tupo pamoja 💯
7
@MkobaWar
1 year ago
Nimemkubali mtoto alaaaaaa mama wa 2000 karudi ndani kwa panga
2
@FadhilaMaunga-h2y
1 year ago
Nimempenda kisosej noma sana mkojan unajuwa kusaka vipaji
2
@MariamKarembo
1 year ago
Mbona mtoto mmoja mzee sana kushinda baba😂😂😂😂😂
2
@WistoniSiliveri
1 year ago
Mm bnafis naomba kwanza mmalizie ubaya ubwela tumeimiss sana🎉
2
@mchambikisupi9204
1 year ago
Wallahi Leo nimethibitisha uzuri Wa kisoseji please ukiona hii comment ntafute naitaji mawasiliano nawe
1
@GenoDc255
1 year ago
Asante mwa hii Mkojani, funzo kubwa saaaaanaaaa. Imekuwa fupi na ya kuelimisha.🔥🔥🙏🙏
1
@FadhilaMaunga-h2y
1 year ago
Ila kisosej noma sanaaa wew nd kitot cha elf 2000❤❤❤❤
2
@VictorElias-m6m
1 year ago
Anajua kweli mkojani❤😂🎉😢😮😅😊
3
Details
Related Videos
Comments
CHA 2000 Full movie STARING MKOJANI SAMOFI GALASA KISOSEG MBEMBE
MKOJANI GANG
Subscribe
476,584 views
No description available
Show more