Pia huyu mkuu wa wamaleki hapa Tanzania na ang'olewe atupiliwe mbali Kwani Hana mpango mzuri na Tanzania yetu, tunamfyekelea mbali yeye na wafuasi wake in Jesus Mighty name amen
Nimekuelewa sana Bishop J. Gwajima. Unamanisha yake anayoyafanya Kikwete, Samia na kifo cha Magufuli kitakachotokea ni kukosa walichokivuna kwa kuwaua na kuwanyanyasa watanzania katika nchi yao.