Ibada ya Asubuhi | 06 - 10 - 2026 | Mch. Israel Mosses Mbise

Azania Front Cathedral

Azania Front Cathedral

1,279 views

Karibu katika Ibada ya Asubuhi kutokea hapa kanisa Kuu Azania Front Posta Dar Es Salaam.

🎙️Wiki hii tuko na mtumishi wa Mungu : Mchungaji  Israel Mosses Mbise

👉 Tuna somo lenye kichwa :-  TAMBUA NAFASI YA MSALABA WA YESU KRISTO KATIKA KUTUA MIZGO ULIYONAYO

📋1 WAKORINTHO 1: 18
18. Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.

MATHAYO 11: 28 - 30
28. Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
29. Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;
30. kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.

..............................
MWANZO 3:9
9. Bwana Mungu akamwita Adamu, akamwambia, Uko wapi?
............................

👉 KWA MAOMBI NA USHAURI :

☎️ +255 748 290 290 -  MCH. VICTOR MAKUNDI

👉 SADAKA:

LIPA NAMBA [ M-PESA ]:   579 579 4

............................

Shiriki nasi zaidi kupitia:
/Instagram page:  Instagram: kkkt_azaniafront_cathedral
/Facebook page:  https://www.facebook.com/profile.php?...
/Youtube page:  @azaniafrontcathedral
/Website : https://azaniafront.or.tz/


#azaniafrontcathedral  #ibadahonline #injiliyakristo   #lutheranchurchlivetoday