Askofu Gwajima alivyotembelea Clouds Media Group leo
Millard Ayo
Subscribe
375,371 views
No description available
Show more
20 Comments
@mottofoundationinc.3492
9 years ago
ONLY SMART BRAIN CAN UNDERSTAND THIS GREATEST GUY(GWAJIMA)..
25
1 reply
@fikiryhamees5858
7 years ago
Nikimuangalia luge najikuta nalia kama yupo dunian jaman dah!
19
@kesphaanyitike7751
1 year ago
Here in 2025
7
@seifmillanzi9673
9 years ago
namwona boss ruge dizain anacheka ivi
8
@danielezekiel2860
9 years ago
Kazi ya wachungaji ni pamoja na kutia moyo na kufariji pia. Hongera pastor.
30
@stn4873
4 years ago
Lilikua ni suala la muda tu, Mwenyezi Mungu kafanya yake.
2
@ramadhansemgayo3538
7 years ago
Ruge umetangulia mbele ya haki pumzika shujaa lkn haya mengine tunamuachia mungu yeye ndo hutoa hukumu na yeye pia ndo mwenye kusamehe
#RIPRUGE
inauma sana lkn hakuna namna
10
@williammeena3369
9 years ago
Big up Bishop Gwajima
9
@sweetmama3242
9 years ago
Aaaaamen. Aaaaamen. Yesu ni Bwana. Mungu akubariki sana mchungaji kwa maneno yako mazuri, ya busara na hekima. I ❤ youuuuuuuuuuuu.....!
2
@vumiliambehi79
9 years ago
hebu mungu awatangulie wote wenye sakata hili
4
@christophermakunzo4232
9 years ago
Mtumishi wa Mungu, umeeleweka kwa kiasi cha juu sana kutokana na sakata hili. Pole.
1
@josiahpaul3532
9 years ago
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni big up pastr nme kuelewanme kuelewa
5
@vianeyminja575
9 years ago
gwajima hujawahi kuniangusha,. ww ni born town
19
1 reply
@millitarybattalion7515
4 years ago
Kweli Leo nimeamini mzoga umetoa asari 2021
1
@kamgomoli3650
7 years ago
Well said,"Man can not run away from the truth though can only be delayed".
@frolamrema3683
7 years ago
Ruge wangu never forget my lovely friend
1
@manyotaskipper5765
9 years ago
gwaji unawaombea clouds wanunue magari na viwanja si ungewaombea wauone ufalme wa Mungu waingie peponi
27
3 replies
@MakoyeAman
9 years ago
Great message>>>>> uko vizur Gwajima in your mind
13
@loner_wolf
5 years ago
Mayor wa mwanza, sio dar es salaam mkuu... ENDELEA...
1
@onesmoakwilini6254
7 years ago
Mchawi kajaaa msibani..R.I.P kaka
5
Details
Related Videos
Comments
Askofu Gwajima alivyotembelea Clouds Media Group leo
Millard Ayo
Subscribe
375,371 views
No description available
Show more