Pia kipindi Cha mahendeleo kina poteya sana , mahana tunakipenda sana kwasababu kinatupa halihalisi na mahendeleo ya jiji la baraka Kwa sisi ambao tupo nje ya inchi Asanteni sana nawapenda sana Tanganyika tv
Safi sana ila mbona unachukua mda mrefu kuhoji mtu mmoja.bila kuhonyesha soko nzima Pia tunahitaji kipindi cha mahendeleo. Kina tupa moyo na msukumu wa kujenga kwetu.
Hamna kitu hapo , kikubwa zone ya fizi inaitaji barabara nzuri, umeme, afya bora ( hospital) ,elimu bora, na mawasiliano, LAKINI hayo mengine yanakuja baadae sasa