Niko hapa 22 Feb 2026. Mungu na kushukuru kwa kuni leta hapa na kusikia neno lako na mafundisho yako. Barikiwa pastor na Mungu naomba uni fudishe kusikia sauti yako Amina 🙏🙏🙌🙌
Nimekua muumini wa mafundisho yako kupitia "u tube" be blessed Pastor mafundisho yako yanafungua Sana uwelews wangu tangu nianze fuatilia. Nipo Dsm Kigamboni.