Chuma hicho, najickia faraja sana japo kwa muda wake mfupi impact yake ni kubwa sana, naifananisha na super sub iliyoingia ikapiga hatrick na kuchukua point tatu,
Lala salama baba, vita ulivipigana๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ nikikuona machozi yanatililika. Mwenyezi MUNGU akupe makao salama huko uliko. Raha ya milele umpe e bwana, na mwanga wa milele umwangizie apumzike kwa amani Amina. Roho za waamini wapate rehema kwa MUNGU, wapumzike kwa amani, AMINA.
Kuna wakati hua siamini kama rais niliyemkubali nikamchagua hayupo tena duniani,daaah! YAHWEH is great.Pumzika kwa amani JPM hakika me binafsi kwa jitihada zako nakukumbuka
this is what I was asking leaving myself with unanswered qns. why were we not talking of natural minerals as OUR MAJOR SOURCES OF INCOME .... WHY WERE WE DEPENDING ON TBL, TCC...? THANX OUR PRESIDENT YOU KEEP ON ,,, WE TZ WER SUPPOSSED TO BE DONORS
hongera sana rais wangu mpendwa .ninakupongeza sana kwa kuwanyoosha hao wanaojiita wajanja . namuomba allah akulinde na akupe umri mlefu wenye mafanikio
2025. Kama kuna mwanadamu alihusika juu ya kifo cha huyu mzee EWE MUNGU ULIYEUMBA MBINGU NA ARDHI HUYO MTU MPE KIFO KIBAYA NA APATE MARADHI MABAYA YASIYOTIBIKA AMEN ๐