Kwa ushauri wazazi wezangu kufanya sherehe kubwa kwa mtoto wa la 7 siyo Sawa sbb hiyo ni mwanzo tu bora hiyo pesa umfungulie account yake mm Wang toka azaliwe sijawahi fanya sherehe ya aina yyt mpk Sasa yupo kidato cha 5 nashukuru Mungu kwa hatua aliyo fikia
HUYU HAPA FLORA MVUNGI AFUNGUKA UKWELI KUHUSU MTOTO WA H BABA| JINSI ALIVYOTELEKEZWA TANGU UTOTO