Miongoni mwa masomo yaliyokua na changamoto kufika hapa ni hili,kila mara nilipojaribu kuliweka hapa,ilitokea hitilafu fulani,kila automatic schedule ilifeli,lakini tukajaribu kurusha zaidi ya mara tatu,hatimae ilipofika siku ya leo,Mungu mwenyewe akaruhusu lifike hapa
Ratiba ya mbinguni ni bora zaidi kuliko ratiba yetu,ikiwa Mungu hajaruhusu kwa wakati fulani basi haitokua na faida,ila kwakua ameruhusu kwa wakati huu basi naamini wengi wanakwenda kufunguliwa vifungo hivi kwa Jina la uweza la Yesu Kristo ❤
Ni maombi yangu uendelee kubarikiwa na chanel hii,katika kila video ninayopandisha hapa