Jina lako tu Baraka tosha libarikiwe tumbo lililokuzaa usikae kupungukiwa ktk mifuko Yako. Kapu lako la unga lisipungukiwe milele Barikiwa mpaka kizazi chako cha nne. ❤❤❤❤ MUNGU asikuache Daima
Mungu amzidishie askari huyu kwakila jasho muda na rizk aliyoitoa kwa mama huyo mungu amfunike kwakila jema na kila anachotamani kwenye maisha yake mungu azidi kumbariki na kufanikisha ndoto zake kama alivoweka tabasamu kwa mama huyu❤