MAOMBI YA KIAGANO.DAY 12 MCHANA | Mwl Benjamin Abel 18 June, 2026

MWL.BENJAMINI ABEL

MWL.BENJAMINI ABEL

123 views

MAOMBI YA KIAGANO


#mwlbenjaminabel  #mwllazarojulius #keshanakristo #maombiyaasubuhi #maombiyausiku

Karibu katika Maombi katika lango la saa  Kukabidhi Siku kwa Mungu pamoja na Mwl  Benjamin Abel.
Tunakutana kila siku saa 6:00 usiku hadi saa 6:30 usiku kwa maombi maalum ya kumkabidhi Mungu siku inayofuata, maisha yetu, familia zetu na kazi zetu.

Katika dakika hizi 30 tunaomba:

Mungu atutangulie katika siku yetu

Atufungulie milango ya baraka na mafanikio

Atulinde dhidi ya mabaya na mipango ya adui

Alete amani, neema na ushindi katika kila jambo

Tunaamini Mungu akitangulia, siku yako itakuwa na ushindi.

“Mkumbuke BWANA katika njia zako zote, naye atanyosha mapito yako.” – Methali 3:6

Jiunge nasi kila siku katika maombi ya kukabidhi siku kwa Mungu, na ushuhudie mkono wa Mungu ukitenda kazi katika maisha yako.

Kwa Mawasiliano zaidi:  +255 765 853 859