Essy ndie hu encourage hawa wa mama kutoka kwa ndoa zao Chini ya maji before watoroke kwa bwana. Ati nyinyi ndio mlianzisha tiktok court, So what?hio ni court au ni bus za wapi?Hio nikitu mtu anaweza jigambia na food na rent niyakulipiwa? Ujinga ni mbaya hiyo mndomo yako utakuja ji kidnap tena ukikosa tena wa rent.
😱🔥 DRAMA ERUPTS! Tata Essy FIRES BACK at Apostle Ibu After His CONTROVERSIAL Post