Maneno ya hekima sana. Kuwa mwanamke mwenye mafanikio au malengo haimanishi kupoteza heshima na utii kwenye familia. Na pia ushauri kuhusu kutoa taarifa za ukatili sehemu za kazi ni wa muhimu sana
Asante sana kwa elimu hii nzuri! Ni kweli kabisa, maumivu ya usaliti ni makubwa na watu wanatakiwa kujifunza kuwa na msimamo badala ya kuendelea kubaki kwenye mahusiano yenye maumivu au maneno ya ulaghai. Elimu hii imefungua sana akili
Bwana atib na madam leila shukran kwa maswali na masomo yenu kwa kufundisha jamii allah awajaaliye kila lakheri awahifadhi naawaajaaliye afiya na kazi njema.
Kweli d yangu unasema kweli ilauwe makini sana unaposema manenoyoyote kwenye vipidivyo katka maneno usikashifu Imani za watuwengine kwani mm nafatilya sana kipidichako nimelionahilo kwako