As a lady from this channel I've learnt that heri Bwana anifungulie biashara than kuninunulia kazi,why because Incase nicheat it's easy for him akuje afunge biashara aendelee na life than anibuyie kazi aharibu pesa abaki akiregret😢😢,hata kama biz hitakua inaenda vizuri atleast atabaki na kitu.
Then men if unafanya kazi ya mbali na unakuja once in a while, before sleeping with your woman mpimeni kwnaza magonjwa na mimba ,you never know,you will sound insecure but it will help you a lot Ba usimsho unakuja , surprise her
It hurts me kuona Wasichana tunaumiza wanaume, anyway Mimi hata wa kuninunulia mandizi tatu ya 20 sinaaa