Family ya kweka Haina hatia huo ni ubinafsi kwani wao walimtuma hamjawatendea haki nao ni wahanga pia acheni roho mbaya baada mtafakari kuua mtu sio mchezo ndoa zinamambo magumu sana wao nao ndugu Yao anaenda jela na hukumu usikute kunyongwa mngewaacha wamzike mkwe wao acheni utata wakija hapo sio vibaya