sheikh Othman Maalim akiwa inchini Congo 🇨🇩( Uvira ), sikiliza alicho kiongeya.

AL-BAWARIYU TV

AL-BAWARIYU TV

12,457 views

Darsa la sheikh Othman, akiwa inchini Congo ( tarafani uvira ) na ku Furaha mapokezi yao ( tafuta Video yetu ya mapokezi ya sh Othman kwenye Chanel yetu ya Al-Bawariyu TV ili upate matokeo wote )

akiwaomba ma sheikh wote wa Tanzania kutembelea tarafa la uvira, mana waislam wanawaitaji

Nakuwaeleza namna wameitelekeza Congo kwa mafunzo ya dini ya Allah, mana Watu wanafaitaji sana uko ili wafaidike na elimu.

Wakaazi wapo wamewakaribisha milango ikowazi kwa yoyote

Al-Bawariyu TV