Yaaani hii nchi bana me nasema kweli mungu anisamehe siku kikwete na mwanae wakifa Tanzania tutakua sawa lakini wazalendo watakua wanaletwa na mungu wasaliti wa nchi wana muua
Wako wapi?hawa waliobaki?maana mzee akaenda peke yake,inamaana wamesahau hata lile neno naule wimbo? Watz ni tajiri nadhani hawa watu wamesafiri hawapo!