MAOMBI YA USIKU :: PEKE YANGU SIWEZI BABA INGILIA KATI
Shule Tech
Subscribe
70,638 views
Karibu katika ibada hii ya usiku wa leo kuyoka kwa mchungaji David Mbaga.
Show more
20 Comments
@LoyceChacha-q3p
1 year ago
Mungu wetu atusaidie kwa kipindi hichi kingumu kwa ķibiashara, kweli bila yeye hatuwezi. Tusaidie muumba wetu.
15
@HoppeTumainilobati
9 months ago
Ee baba Asante kwa afya yangu nipatie kile ninacho kihitaji amen
2
@MukalayMalunga
1 year ago
Ubarikiwe MCH naomba unisindikize kwa ombi ya kipawa changu naingia matatinzoni unikumbuke Niko ichini Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
7
@MazeKeen-yl1on
10 months ago
After listening to this sermon I know very soon I will come back here with testimony of what God has done in my life. Thank you for the sermon and the prayers pastor. Continue to be a blessing to many out here.
2
1 reply
@pilisamtyani9445
3 months ago
Barikiwa mtumishi
@WINNIENGUGIWANJIKU
11 months ago
Paster buana yangu.hanakasi muober apate.katika.jina.ra yes amen
@NyamariFaith-qu1jm
7 months ago
Asante Yesu kwa kuwa umekua mwaminifu ktk maisha yangu nashukuru Mungu 🙏❤️
@Elizabeth-u5k1k
1 year ago
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏Nami niko kwenye kundi la mbele niombee family yetu
2
@FurahaMtawa
1 year ago
Naomba nisaidie Yesu wangu katika huu mlima
2
@feddymwanga5462
1 year ago
Mungu Niko chini ya msslaba, naomba ee Mungu naomba uturudishie ndugu yetu Julius
4
@Josephine-u8l
1 year ago
Our Lord Jesus stand with us this moment on this matter and answer our prayers amen
2
@VailethLazaro-i8p
6 months ago
Amen Amen ugonjwa nilioambiwa kuwa ninao haupo Tena nimepona kwa Jina la Yesu kristo kupitia neno lako Amen
@WINNIENGUGIWANJIKU
11 months ago
Amen amen obea mzee wangu. .Kasi .mutumisi
@Rachelfuraha-w3s
9 months ago
tupe kuamini kweli kweli neno lako Yesu! Pasta barikiwa sna❤❤❤
@EmmanuelMakoye-c3i
1 year ago
Mungu tenda na Kwa wanangu paulo Paulina pamoja joshua
5
@nicholasbett27
2 months ago
Pasta naomba na Mimi Mungu anikumbuke nimekua addicted Sana na Jambo flani ya kimwili naamini ushindi wa bwana 🙏😭💪
@RHODASIBIKULU
8 months ago
amen saana ,,
1
@KAVUGHOKATIVITI
10 months ago
Aksanti kwa neno nzuri na amen kwa maombi
@RachelPraise-iy6vc
1 year ago
Naomba mungu hu ndo uwe wakati wangu sasa wakujibiwa maombi yangu yote
2
@FurahaMtawa
1 year ago
Yesu niongezee IMANI yenye majibu
1
Details
Related Videos
Comments
MAOMBI YA USIKU :: PEKE YANGU SIWEZI BABA INGILIA KATI
Shule Tech
Subscribe
70,638 views
Karibu katika ibada hii ya usiku wa leo kuyoka kwa mchungaji David Mbaga.
Show more