Ee yesu naomba unipeneema ya kuwa na kiu ndani yangu ya kutaka kumjuwa Mungu ni baraka tele na azidi ya baraka na nitembee katika Shelia yake. Mtumishi ubarikiwe na Bwana ❤❤❤
Nabarikiwa sana na mafundisho yako MUNGU akuinue zaidi nilichelewa kukujua wewe MUNGU wangu ila kwa nafasi hii sitakupoteza kamwe kuwa nami baba katika jina la yesu