Naomba Mungu anipe ufahamu wa rohoni ili nielewe neno la Mungu kupitia kwa kanisa la vuka yordan kwa mtumish wa Mungu.Naomba neema iyo I've juu yangu.❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nimemsamehe Baba wa watoto wangu leo kuanzia leo kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareth, naomba ukamfungue na kumponya kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareth