Eeenhe Mtakatifu mtakatifu mtakatifu!! Mungu babaa muumba mbingu na inchi, nninakuxhukura kwa siku na majira mapya ambayo nixingeweza kufika peke yangu, ninarudixha xifa na utukufu vyote vikurejee babaa wangu, asante asante nashukuru sana mpendwa wetu kwa jina lako tukufu la baba na la mwana Amen
Mungu Asante kwa kunipa neema yakuona majira mapya na kibali naomba nipate amani ya moyo na uniondolee magonjwa yakila siku nilindie family yangu Mungu wangu Amen 🙏🏻