NDOA [EP 166] Love Story ❣️❣️❣️ #pasarbrand #love #traditional
PASAR BRAND
Subscribe
124,691 views
No description available
Show more
20 Comments
@MauwaSama-t1v
9 hours ago
Kipara tena unajimaliza kwa mmakonde 😂😂😂naombeni like jamani😂
46
@Fajascomedy1459
9 hours ago
Wakwanza kutoka burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮, jamani munipe like leo
42
@NeemaSteven-q9y
9 hours ago
Leo toka nianze kutizama huu move hata like sipati 😢naombeni like za kiduchu lakini pia nawapa pole kwa kufungwa timu ya yanga , ❤❤❤❤❤❤😂
30
1 reply
@DivineIradukunda-q2z
9 hours ago
Ndazindutse uyumusi kutoka burundi munipe like zangu
19
@christine-f1y8d
9 hours ago
Alafu Mimi nimemiss Tammy
Nani mwingine pia amemiss Tammy kama Mimi
Alipata mtoi ama kuliendaje
31
3 replies
@dellaceokello5658
9 hours ago
Wapi like zangu from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
19
@RACHELJOSHUA-h3r
9 hours ago
Wa kwanza leo jaman like zangu wapi❤
14
@DanielMwakabafu
8 hours ago
Happy birthday to me🎉🎉🎉🎉
30
8 replies
@PiliKalama-z8g
8 hours ago
Makofi kwa kiduchu😂🎉❤❤❤
30
1 reply
@LawiMukira-y3h
9 hours ago
Kwa nini sijawahi pata hâta like moja kwa hizo filamu
73
2 replies
@ZaitunBatson
9 hours ago
Kiduchu mama mwenye nyumba😂😂😂😂
27
1 reply
@hafidhabdi2004
9 hours ago
Hivi hizo like zinasaidia nini😂 nipeni faida nami nijue😂
13
1 reply
@MagdalenaMbuligwe
9 hours ago (edited)
Tuombeen wana yanga Hali zetu sio nzuri tunahitaji uangaliz wa karibu tusije tukafanya maamuz magumu 😢😂
9
@LindarLoveness-r8g4b
9 hours ago
Ila mke wa kipara jamani😅😅😅
13
@DostiÉléphant
8 hours ago
Kizi ipo kwa kipara leo 😂
10
@MaryboyaniMaryboyani
9 hours ago
Wakenya nimefika mapema ili niwashikie nafasi 🎉mapema ndio best 👌 🎉🎉🎉🎉
13
1 reply
@NdayizeyemMudasiru
9 hours ago
Allah awaweke salaam tulio kutania hapa
15
1 reply
@MartineDiplôme-z9s
9 hours ago
Jamani usingizi ume ni icha wakati nika ona ndowa bummm kwenye simu❤❤❤❤
7
@miymahbecker4160
9 hours ago (edited)
Me nampenda mmakonde wa kipala jmn😅
12
1 reply
@VerdianaNgonyani-g4n
8 hours ago
😂😂😂😂 kipara miguu chwachwa chwachwaaaa
8
Details
Related Videos
Comments
NDOA [EP 166] Love Story ❣️❣️❣️ #pasarbrand #love #traditional
PASAR BRAND
Subscribe
124,691 views
No description available
Show more