Mambo imechemka🔥Kumbe hivi ndivyo mama Yusuf alikua amepangia Baba Yusuf?🤔 listen what joy said😭
Jay M. show.
Subscribe
2,663 views
No description available
Show more
20 Comments
@JanewambuiWambui
2 hours ago
Inaweza kua Yusuf ni wa huyu so called MP ni kama wanafanana 😂😂😂
9
1 reply
@RuthMwangi-d9r
1 hour ago
Who is seeing like me? Like mama joy and mama yufus are sisters, they look alike.
5
1 reply
@MaryKimani-l2b
2 hours ago
So mum Yusuf ndie alifanya connection 🙆🙆
6
@Neimahneimah-i20
15 hours ago (edited)
Mama yusuf lazima ako kwa hii game na na anatoka kimahusiano na baba brenda ,kwanza wangejuaje documents zote ziko kwa yusuf let's wait
11
1 reply
@JamesFranklineSr
1 hour ago
Wazazi washenzi wa siku hizi wanafanya hadi mandugu waowane na wazae bora wao wapate pesa tu 😢😢😢😢...Useless parents!
4
@zipporahmujiti5435
2 hours ago
Baba brenda ni mpango wa kando wa mama Yusuf🎉🎉🎉
4
@JamesFranklineSr
1 hour ago
Yusuf kiswahili mingi za ujinga kumbe unaletewa hadi mwanamuke wa kuowa surely?! U deserve more than u got pumba, hii !!!!
3
@MrymKiikk-km4dj
1 hour ago
Mama Yusuf mbona ufanye hivyo kwani ww hutakii familia yako mazuri jamani
3
@mercykwamboka-jq8ip
1 hour ago
Hii movie iko Sawa Jay n mama joy wakicheka😂😂😂
3
@PurityWawira-b2u
1 hour ago
Mama Yusuf n comedian kama kijana yake
3
@rolinekathure3021
3 hours ago
Wazazi wa siku hizi mostly wenye wanakaa town wanataka maisha ya starehe they don't care about their children's
4
@AliceNjeri-j1h
2 hours ago
N kweli Yusuf Wana fanana na baba Brenda kabisa.
5
1 reply
@TabithaWaiharo-f9g
1 hour ago
Surely the person who want to finish you ni mtu anaye kujua tu vizuri, am not surprised weee
2
@carolinechepngetich-h2j
2 hours ago
Mkae mkijua huyu Yusuf na brenda ni brother na sister
3
@MargaretWangui-v2i
23 minutes ago
Yusufu ni mtoto wa mp mtashangaa sana
2
@marykwova2002
1 hour ago
Na mama yusuf looks older than baba yusuf
2
@ZUHURAISMAEL
3 hours ago
Soon baba halali wa Yusuf atajulikana
3
@TimaJuma-l4e
2 hours ago
Yusuf na baba brender ni mtu ma mwanae
3
@skkk4251
2 hours ago
Yusuf ni mtoto wa baba brenda
3
@JanewambuiWambui
2 hours ago
Wonders shall never end 🤔 mama Yusuf au ok aaai 😳 unashikana na majambazi umalize boma yako ngaai 😮
4
1 reply
Details
Related Videos
Comments
Mambo imechemka🔥Kumbe hivi ndivyo mama Yusuf alikua amepangia Baba Yusuf?🤔 listen what joy said😭
Jay M. show.
Subscribe
2,663 views
No description available
Show more